French Christian Song 2020 | Zingatia Majaliwa ya Binadamu (Music Video)

Deal Score0
Deal Score0
French Christian Song 2020 | Zingatia Majaliwa ya Binadamu (Music Video)

French Christian Song 2020 | Zingatia Majaliwa ya Binadamu (Music Video)


French Christian Song 2020 | Zingatia Majaliwa ya Binadamu (Music Video)

Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa,
Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova,
kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni.

Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo
hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.
Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama,
ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa.
Wengine wote watapata angamizwa,
na kupokea adhabu wanayostahili.
Mungu awahimiza makabila yote mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu.
Zingatia hatima ya wanadamu wote.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433
CAG Hymns – Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: http://bit.ly/2WHrvj2
App store: https://apple.co/2ZEE29d

Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192

#swahiliworshipsongs#yesuamekuja#swahiligospel #nyimbozakabudu #nyimbozainjili #nyimbozawokovu #nyimbompya #swahiligospelsong #tenzizarohoni #Injili #kikristo #kenyangospel #tanzaniagospel #CongoGospel #KanisalaMwenyeziMungu

Trip.com WW

Disclaimer: "The lyrics are the property and copyright of their original owners. The lyrics provided here are for personal and educational purposes only."

Kanisa la Mwenyezi Mungu
      SongsFire
      Logo